11 Manoa akafuatana naye mpaka kwa mtu huyo, akamwuliza, “Je, wewe ni yule mtu aliyezungumza na mwanamke huyu?” Yule mtu akamjibu, “Ni mimi.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 13
Mtazamo Waamuzi 13:11 katika mazingira