Waamuzi 13:9 BHN

9 Mwenyezi-Mungu akalisikia ombi la Manoa, na yule malaika wa Mungu akamwendea tena yule mwanamke alipokuwa ameketi shambani. Lakini mumewe, Manoa, hakuwa pamoja naye.

Kusoma sura kamili Waamuzi 13

Mtazamo Waamuzi 13:9 katika mazingira