10 Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kutushambulia?” Nao wakawajibu, “Tumekuja ili tumfunge Samsoni na kumtendea kama alivyotutendea.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 15
Mtazamo Waamuzi 15:10 katika mazingira