Waamuzi 15:4 BHN

4 Basi, Samsoni akaenda, akawakamata mbweha 300 na akawafunga mikia yao pamoja wawiliwawili. Kisha akaweka mwenge katika kila jozi ya mbweha.

Kusoma sura kamili Waamuzi 15

Mtazamo Waamuzi 15:4 katika mazingira