5 Halafu akaiwasha hiyo mienge na kuwaachilia hao mbweha ambao waliingia kwenye mashamba ya Wafilisti na kuteketeza miganda ya ngano na pia ngano iliyokuwa bado haijavunwa hata na mashamba ya mizeituni.
Kusoma sura kamili Waamuzi 15
Mtazamo Waamuzi 15:5 katika mazingira