Waamuzi 16:2 BHN

2 Watu wa Gaza walipoambiwa kuwa Samsoni yuko huko, walilizingira eneo hilo na kumvizia kwenye lango la mji usiku kucha. Wakakaa kimya huko langoni usiku wote wakifikiri kwamba wanaweza kungojea mpaka mapambazuko wapate kumuua.

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:2 katika mazingira