3 Lakini Samsoni akabaki mjini mpaka usiku wa manane. Wakati wa usiku wa manane akaamka akashika miimo miwili ya malango, akaingoa pamoja na makomeo yake akaibeba na kwenda nayo mpaka karibu na Hebroni.
Kusoma sura kamili Waamuzi 16
Mtazamo Waamuzi 16:3 katika mazingira