Waamuzi 16:23 BHN

23 Wakuu wa Wafilisti walikusanyika ili kusherehekea na kumtolea tambiko mungu wao aitwaye Dagoni. Basi, wakawa wanaimba, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu Samsoni.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:23 katika mazingira