Waamuzi 16:24 BHN

24 Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao na kusema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu ambaye amekuwa akiharibu nchi yetu na kuwaua wengi wetu.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:24 katika mazingira