25 Walipojawa na furaha sana mioyoni mwao, wakasema, “Mleteni Samsoni atutumbuize.” Basi wakamtoa Samsoni gerezani, wakamleta naye akawatumbuiza. Wakamweka katikati ya nguzo.
Kusoma sura kamili Waamuzi 16
Mtazamo Waamuzi 16:25 katika mazingira