Waamuzi 18:24 BHN

24 Mika akasema, “Nyinyi mmechukua miungu yangu niliyojitengenezea, mkamchukua na kuhani wangu, mkaniacha bila chochote. Mnawezaje basi kuniuliza nina shida gani?”

Kusoma sura kamili Waamuzi 18

Mtazamo Waamuzi 18:24 katika mazingira