25 Watu wa kabila la Dani wakamwambia, “Afadhali uache kelele zako, la sivyo wengine wetu wenye hasira wanaweza wakakuvamia, nawe ukapoteza maisha yako na maisha ya jamaa yako.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 18
Mtazamo Waamuzi 18:25 katika mazingira