Waamuzi 20:17 BHN

17 Waisraeli, licha ya wa kabila la Benyamini, walikusanya watu 400,000 wawezao kutumia silaha. Wote walikuwa hodari wa vita.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:17 katika mazingira