18 Waisraeli wakaenda Betheli kutaka shauri kwa Mungu, wapate kujua kabila ambalo litakwenda kwanza kupigana na watu wa kabila la Benyamini. Mwenyezi-Mungu alitaja kabila la Yuda liende kwanza.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:18 katika mazingira