Waamuzi 20:21 BHN

21 Watu wa kabila la Benyamini wakatoka nje ya mji wa Gibea wakapigana na Waisraeli, wakawaangusha chini siku hiyo, watu wa Israeli 22,000.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:21 katika mazingira