Waamuzi 20:26 BHN

26 Watu wote wa jeshi la Waisraeli wakaenda Betheli. Walikaa huko mbele ya Mwenyezi-Mungu wakiomboleza na kufunga mpaka jioni. Wakamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:26 katika mazingira