Waamuzi 20:27 BHN

27 Waisraeli wakamwomba Mwenyezi-Mungu awape shauri. Wakati huo sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilikuwa huko Betheli.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:27 katika mazingira