32 Watu wa Benyamini wakafikiri, “Tumewapiga kama nyakati zilizopita.” Lakini Waisraeli wakasema, “Sisi tukimbie ili tuwavute mbali na mji hadi kwenye njia kuu.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:32 katika mazingira