Waamuzi 20:33 BHN

33 Hivyo watu wote wa Israeli wakatoka kwenye sehemu yao na kujipanga tena huko Baal-tamari. Wenzao waliokuwa wanaotea wakatoka haraka mahali pao upande wa magharibi wa mji wa Gibea.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:33 katika mazingira