Waamuzi 20:34 BHN

34 Askari hodari waliochaguliwa kutoka makabila yote ya Israeli wakawasili hapo mbele ya mji wa Gibea. Vita vya siku hiyo vilikuwa vikali. Lakini watu wa Benyamini hawakufahamu kwamba kuangamia kwao kulikuwa karibu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:34 katika mazingira