35 Mwenyezi-Mungu aliwashinda watu wa Benyamini mbele ya Waisraeli. Waisraeli wakawaua watu wa Benyamini 25,100. Hao wote waliouawa walikuwa askari walioweza kutumia silaha.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:35 katika mazingira