36 Hivyo watu wa kabila la Benyamini wakaona kwamba wameshindwa.Waisraeli walirudi nyuma kana kwamba wanawakimbia watu wa kabila la Benyamini, kwani walitegemea wenzao waliokuwa wamewekwa kuotea mji wa Gibea.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:36 katika mazingira