Waamuzi 20:4 BHN

4 Yule Mlawi, mume wa yule suria, akawajibu, “Mimi na suria wangu tulifika mjini Gibea, mji wa kabila la Benyamini ili tulale huko usiku.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:4 katika mazingira