Waamuzi 20:5 BHN

5 Lakini watu wa mji wa Gibea wakaja usiku wakaizingira nyumba nilimokuwa nimelala. Walitaka kuniua, wakambaka suria wangu mpaka akafa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:5 katika mazingira