6 Mimi nikachukua maiti yake, nikamkatakata vipandevipande na kuvipeleka kwa makabila yote ya Israeli, maana wamefanya jambo la kuchukiza na potovu katika Israeli.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:6 katika mazingira