41 Ndipo Waisraeli wakageuka, na watu wa kabila la Benyamini wakakumbwa na fadhaa kwani sasa waliona kuwa kuangamia kwao kulikuwa kumekaribia.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:41 katika mazingira