Waamuzi 20:42 BHN

42 Kwa hiyo wakageuka, wakawakimbia Waisraeli kuelekea jangwani, lakini vita vikawakumba; wakajikuta wako katikati ya majeshi mawili ya Israeli, na askari waliotoka wakawaangamiza.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:42 katika mazingira