Waamuzi 21:18 BHN

18 Lakini hatuwezi kuwatoa binti zetu wawe wake zao, maana tulikwisha apa kwamba mtu yeyote atakayemwoza binti yake kwa mwanamume wa kabila la Benyamini alaaniwe.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 21

Mtazamo Waamuzi 21:18 katika mazingira