Waamuzi 21:24 BHN

24 Wakati huohuo Waisraeli wakaondoka, kila mtu akarudi katika eneo la kabila lake na jamaa yake. Kila mtu alirudi katika sehemu aliyogawiwa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 21

Mtazamo Waamuzi 21:24 katika mazingira