Waamuzi 3:12 BHN

12 Waisraeli walitenda tena uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu. Mwenyezi-Mungu akampa nguvu mfalme Egloni wa Moabu awashambulie Waisraeli, kwa sababu walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:12 katika mazingira