Waamuzi 3:13 BHN

13 Egloni akawakusanya Waamoni na Waamaleki, akaenda kupigana na Waisraeli, akawashinda. Akauteka Mji wa Mitende yaani Yeriko.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:13 katika mazingira