Waamuzi 3:19 BHN

19 Lakini yeye alipofika kwenye sanamu za mawe yaliyochongwa karibu na Gilgali, alimrudia Egloni akasema, “Nina ujumbe wa siri kwako, ee mfalme.” Mfalme akawaamuru watumishi wakae kimya, nao wakatoka nje.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:19 katika mazingira