Waamuzi 3:20 BHN

20 Naye Ehudi akamkaribia pale alipokaa katika chumba chake chenye baridi barazani, akamwambia “Nina ujumbe wako kutoka kwa Mungu.” Mfalme akainuka kitini mwake na kusimama.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:20 katika mazingira