Waamuzi 3:21 BHN

21 Ehudi akauchomoa upanga wake kwa mkono wake wa kushoto kutoka paja lake la kulia, akamchoma nao tumboni mwake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:21 katika mazingira