22 Upanga ukaingia ndani pamoja na mpini wake, mafuta yakaufunika upanga huo kwani Ehudi hakuutoa tena; ukawa umetokea kwa nyuma.
Kusoma sura kamili Waamuzi 3
Mtazamo Waamuzi 3:22 katika mazingira