Waamuzi 3:24 BHN

24 Ehudi alipoondoka, watumishi wa mfalme wakarudi. Walipoona milango yote ya chumba imefungwa, walifikiri amekwenda kujisaidia chooni humo ndani ya nyumba.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:24 katika mazingira