Waamuzi 3:25 BHN

25 Wakangojea mpaka wakaanza kuwa na wasiwasi. Walipoona hafungui, wakachukua ufunguo na kufungua mlango. Wakamwona mfalme wao sakafuni, naye amekufa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:25 katika mazingira