Waamuzi 3:8 BHN

8 Basi, hasira ya Mwenyezi-Mungu ikawaka dhidi ya Israeli, naye akawatia mikononi mwa Kushan-rishathaimu mfalme wa Mesopotamia, nao wakamtumikia kwa muda wa miaka minane.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:8 katika mazingira