9 Waisraeli wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawapelekea mtu wa kuwakomboa yaani, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu.
Kusoma sura kamili Waamuzi 3
Mtazamo Waamuzi 3:9 katika mazingira