Waamuzi 4:14 BHN

14 Debora akamwambia Baraki, “Inuka! Leo ni siku ambayo Mwenyezi-Mungu atamtia Sisera mikononi mwako. Mwenyezi-Mungu anakwenda mbele yako.” Basi, Baraki akashuka kutoka mlimani Tabori akiwaongoza watu wake 10,000.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:14 katika mazingira