Waamuzi 4:15 BHN

15 Baraki akafanya mashambulizi, naye Mwenyezi-Mungu akamtimua Sisera na jeshi lake lote mbele ya Baraki kwa upanga. Sisera akatoka katika gari lake, akakimbia kwa miguu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:15 katika mazingira