16 Baraki akalifuatia jeshi hilo na magari mpaka Harosheth-hagoimu na kuwaua wanajeshi wote wa Sisera kwa mapanga; hakubaki hata mtu mmoja.
Kusoma sura kamili Waamuzi 4
Mtazamo Waamuzi 4:16 katika mazingira