17 Lakini Sisera alikimbia kwa miguu mpaka hemani kwa Yaeli, mke wa Heberi, Mkeni. Alifanya hivyo kwa sababu kulikuwa na amani kati ya mfalme Yabini wa Hazori na jamaa ya Heberi.
Kusoma sura kamili Waamuzi 4
Mtazamo Waamuzi 4:17 katika mazingira