18 Yaeli akatoka kumlaki Sisera, akamwambia, “Bwana wangu, karibu kwangu, wala usiogope.” Akaingia hemani mwake, akamfunika kwa blanketi.
Kusoma sura kamili Waamuzi 4
Mtazamo Waamuzi 4:18 katika mazingira