Waamuzi 4:19 BHN

19 Sisera akamwambia Yaeli, “Tafadhali, nipe maji kidogo ninywe, maana nina kiu.” Akampa maziwa badala ya maji, kisha akamfunika tena.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:19 katika mazingira