Waamuzi 4:20 BHN

20 Sisera akamwambia, “Simama mlangoni mwa hema. Mtu yeyote akija kukuuliza kama kuna mtu yeyote hapa, mwambie hakuna.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:20 katika mazingira