Waamuzi 4:7 BHN

7 Mimi nitamchochea Sisera, jemadari wa jeshi la Yabini, aje na majeshi na magari yake kupigana nawe kwenye mto Kishoni, na kumtia mikononi mwako.’”

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:7 katika mazingira