8 Baraki akamwambia Debora, “Kama utakwenda pamoja nami, nitakwenda. Lakini usipokwenda pamoja nami, sitakwenda.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 4
Mtazamo Waamuzi 4:8 katika mazingira