Waamuzi 4:9 BHN

9 Debora akamjibu, “Sawa. Nitakwenda pamoja nawe; lakini hutapata heshima yoyote ya ushindi, maana Mwenyezi-Mungu, atamtia Sisera mikononi mwa mwanamke.” Basi, Debora akafuatana na Baraki kwenda Kedeshi.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:9 katika mazingira