Waamuzi 4:10 BHN

10 Baraki akayaita makabila ya Naftali na Zebuluni huko Kedeshi; watu 10,000 wakamfuata. Debora akaenda pamoja naye.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:10 katika mazingira